MAISHA NA AFYA: Fistula ni tatizo kubwa kwa wanawake Msumbiji

  • | VOA Swahili
    121 views
    Wiki hii katika Maisha na Afya tunaelekea Msumbiji ambapo tutaangalia ugonjwa wa fistula ambao unasumbua sana wanawake wengi katika nchi hiyo bila kusahau daktari kutoka Nigeria atatueleza zaidi kuhusu ugonjwa huu.