MAISHA NA AFYA: Namba za maambukizi ya virusi vua Ukimwi zinatisha

  • | VOA Swahili
    288 views
    Wiki hii katika Maisha na Afya tunaangalia ongezeko la namba za maambukizi ya virusi vya ukimwi ambapo idara ya umoja mataifa inayoshughulikia Ukimwi UNAIDS, takwimu za za HIV kote duniani zinaonyesha kuwa maambukizo yanaongezeka. tangu kuanza kwa mlipuko wa maambukizi hayo ya HIV watu millioni 84.2 wameambukizwa na ugonjwa huo. Asilimia 93 ya maambikizi mapya yako barani Afrika kusini mwa jangwa la sahara. Katika mataifa hayo ya kusini mwa jangwa la Sahara, wanawake na wasichana walichangia asli mia 63 ya maambukizo mapya ya HIV mwaka jana.