MAISHA NA AFYA - UPANDIKIZAJI WA MBEGU ZA UZAZI KWA WANAWAKE

  • | VOA Swahili
    Wiki hii ndani ya Maisha na Afya, Mkamiti Kibayasi anatuleteta habari mbalimbali za afya ikiwa ni pamoja na teknolojia ya uzazi ya kupandikiza mbegu za uzazi kwa wanawake wasiopanta mimba kwa njia ya kawaida. #maishanaafya #VOA