Maisha ya familia kadhaa yalisambaratika mtaani mradi

  • | Citizen TV
    959 views

    Takriban wiki mbili zilizopita, mkasa wa moto wa mlipuko wa gesi ulikumba embakasi mashariki, na kusambaratisha maisha ya jamii kadhaa katika eneo la mradi. Wakati hali inaanza kutulia, familia zinajikuta zikikabiliana na kazi ngumu ya kujenga upya maisha yazo yaliyosambaratika.