Maisha ya mwakilishi mwanamke wa Mombasa, Zamzam Mohammed

  • | K24 Video
    24 views

    Katika awamu yetu ya kwanza ya makala yetu spesheli ya Mwanamke na Uongozi, nilipata fursa ya kuzungumza na mwakilishi wadi mwanamke wa kaunti ya Mombasa Zamzam Mohammed. Tulikaa na kuzungumza mengi kuhusu safari yake katika siasa na bila shaka changamoto kama mwanamke katika uongozi.