Maisha yabadilika miiezi sita baada ya M23 kuchukua Goma

  • | BBC Swahili
    4,492 views
    Miezi sita baada ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kuna ishara kwamba hali ya kawaida imeanza kurejea. ⁣ Hata hivyo, majeraha ya kihisia bado ni makubwa kwa wanawake wengi walionusurika ukatili wa kingono wakati wa mapigano kati ya waasi na jeshi la Congo. ⁣ @frankmavura anaelezea #bbcswahili #DRC #goma Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw