Maiti imepatikana katika mazingira tatanishi, Maparo - Likuyani

  • | West TV
    55 views
    Hali ya majonzi imetanda katika eneo la Maparo junction wadi ya Sango kaunti ndogo ya Likuyani baada ya maiti ya mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka arobaini na sita kupatika kwenye nyumba yake katika mazingira tatanishi