Maiti ya mwanamke yapatikana kwenye sanduku nje ya jengo moja eneo la Kamakis

  • | Citizen TV
    4,491 views

    Polisi wanachunguza kisa ambapo mwili wa mwanamke mmoja ulipatikana kwenye sanduku nje ya jengo moja eneo la Kamakis, kaunti ya Kiambu. Mwili huo ulikuwa umewekwa kwenye sanduku lililowekwa ndani ya gunia.

    gun