Maiti ya watu wawili walodaiw akutupwa mto Chania yapatikana

  • | Citizen TV
    Maiti ya watu wawili walodaiw akutupwa mto Chania yapatikana Maiti moja alikuwa bado na pingu mikononi alipoopolewa Vijana hao wanadaiwa kutupwa mtoni na chifu na maafisa wa polisi Vijana wengine wawili wanadai kuwa na marehemu wakati wa tukio Inadaiwa kuwa wanne hao walikuwa wamekamatwa Thika