- 655 viewsMaalim wa madrassa ,Masud Abdulrasheed, anatafuta faraja ili kukabiliana na kifo cha binti yake mwenye umri wa miaka saba ,Habeebah, aliyeuawa kufuatia mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyofanywa na wanajeshi wa Nigeria wakati wa sherehe za kidini katika kijiji chao kikubwa ambacho hakina watu wengi mwaka mmoja uliopita. ''Shambulio la tarehe tatu Disemba mwaka 2023, lilikuwa janga kubwa ambalo halikupaswa kutokea,'' alisema msemaji wa jeshi, meja jenerali Edwars Buba. #Ndege #watoto #vita Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
'Maiti zilitapakaa kila mahali'
- - Duniani Leo ››
- 20 Jan 2025 - Funding issues, failure to utilise data to blame for vaccine crisis
- 20 Jan 2025 - A Kenyan first: Cancerous bone in boy's knee cut out, 'cooked', then placed back
- 20 Jan 2025 - Rising cancer cases not linked to GM foods, scientists insist
- 20 Jan 2025 - Rising abortion among women blamed on reliance on fertility tracking Apps
- 20 Jan 2025 - Lake Victoria: What ails world biggest fresh water source ?
- 20 Jan 2025 - Experts voice concerns over rising accidents involving light aircrafts
- 20 Jan 2025 - KCSE candidates offered chance to retake exams after cancellations
- 20 Jan 2025 - President William Ruto yesterday told the youths not to listen to naysayers inciting them against his administration.
- 20 Jan 2025 - Treasury CS John Mbadi and his Energy counterpart Opiyo Wandayi have been traversing the vast Luo Nyanza in helicopters to 'inspect' government projects.
- 20 Jan 2025 - Kewopa says they will address alarming statistics, especially on femicide, and give support to victims and survivors.