Muungano wa KMPDU unadai serikali inapuuza matakwa yao

  • | K24 Video
    18 views

    Wakenya haswa wagonjwa katika hospitali za umma wataendelea kutaabika zaidi kufuatia majadiliano kati ya madaktari na wizara ya afya kutofua dafu kikamilifu. Huku mgomo wa madaktari ukiingia siku ya arubaini hii leo muungano wa madaktari KMPDU umeeleza masuala ibuka ambayo yamelemaza vikao hivi ambavyo havijapata muafaka.