Majaji watatu wa rufaa wadinda kubatilisha uamuzi wa rufaa ya SHIF

  • | Citizen TV
    1,297 views

    Mahakama ya rufaa leo imedinda kubatilisha uamuzi wa mahakama kuu ulioamua kuwa mpango wa afya ya umma wa SHIF ulikuwa kinyume na sheria.