Majambazi wahangaisha wakazi wa jiji la Nakuru

  • | Citizen TV
    932 views

    Polisi katika Kaunti ya Nakuru wameanzika msako mkali dhidi ya majambazi watatu waliojihami kwa silaha hatari, na ambao wanashukiwa kuhusika na wizi wa kimabavu. Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, watu watatu wameuawa huku visa kadhaa vya wizi vikiripotiwa mjini Nakuru