Majambazi wamuua bawabu dukani sokoni Butula katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    539 views

    MAJAMBAZI WAMEMUUA BAWABU WA DUKA MOJA LA JUMLA NA KUWAJERUHI WENZAKE WANNE KATIKA SOKO LA BUTULA KAUNTI YA BUSIA USIKU WA KUAMKIA LEO.