Majangili wamuua kwa kupiga risasi mwalimu mkuu Baringo

  • | Citizen TV
    1,969 views

    Watu wawili miongoni mwao mwalimu mkuu wa shule ya msingi na afisa wa polisi wameuwawa katika kaunti za Baringo na Elgeyo Marakwet kwenye mashambulizi tofauti. Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Kagiri aliuwawa kwa kupigwa risasi na wahalifu alipokuwa anaelekea shuleni pamoja na mkewe na mtoto ambao walinusurika kifo.