Majangili wanaohangaisha wakazi wa Laikipia waonywa

  • | Citizen TV
    1,166 views

    Rais William Ruto ametangaza mipango ya kununua vifaa zaidi vya usalama pamoja na silaha ili kukabiliana na majambazi ambao kwa muda mwingi wamehangaisha wakazi wa kaunti ya Laikipia.