Majangili wavuruga mazishi Samburu na kumuua mtu mmoja

  • | KBC Video
    35 views

    Kizaazaa kilitukia katika mazishi ya aliyekuwa afisa wa polisi wa akiba wakati majangili walipovamia hafla hiyo na kumuua mtu mmoja. Mazishi ya afisa huyo aliyeuawa na majangili yaligeuka kuwa mguu niponye kwa waombolezaji waliofika kutoa heshima zao za mwisho katika kijiji cha Morijo, kaunti ya Samburu. Wakazi hao sasa wanaishi kwa hofu kufuatia shambulizi hilo lililotekelezwa mchana peupe huku viongozi wakiwarai maafisa wa usalama kutia bidii kukomesha mauaji ya kiholela.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive