Majeruhi asema: Goma iko hivyo, tutaenda wapi?

  • | VOA Swahili
    129 views
    Katika kanda hii ya video mwanamke ambaye alitaka jina lake lisitajwe alijeruhiwa katika mlipuko wa bomu huko mji wa Sake, Kivu Kaskazini. Daktari Ndoole Mute wa Kituo cha Afrika huko Sake akitoa matibabu kwa majeruhi huyo. Mwanamke huyu aliyejeruhiwa anahojiwa na mwandishi wa VOA Austere Malivika katika kituo hicho cha hospitali. Pia Dr Mute anaeleza juu ya matibabu anayompatia majeruhi huyo. Endelea kusikiliza... #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #sake #kivukaskazini #hospitali #kituochaafrika #daktarindoolemute #drc #goma