Majeruhi asema kumaliza vita ndio suluhisho

  • | VOA Swahili
    280 views
    Katika kanda hii ya video majeruhi Bwa Fabrice aliyejeruhiwa katika mlipuko wa bomu huko mji wa Sake, Kivu Kaskazini anasema suluhisho pekee ni kumaliza vita. Daktari Ndoole Mute wa Kituo cha Afrika huko Sake akitoa matibabu kwa majeruhi huyu. Fabrice akihojiwa na mwandishi wa VOA Austere Malivika katika kituo hicho cha hospitali. Pia Dr Mute anaeleza juu ya matibabu anayompatia majeruhi huyo. Endelea kusikiliza...⁣ ⁣ #goma #kivukaskazini #jimbo #waasi #m23 #raia #makombora #sake #gavana #cirimwani #mejajenerali #voa #voaswahili #sake #kivukaskazini #hospitali #kituochaafrika #daktarindoolemute #drc #goma