Majeruhi wanaouguza majeraha ya risasi kaunti ya Pokot Magharibi walilia haki

  • | Citizen TV
    362 views

    Majeruhi wanaouguza majeraha ya risasi katika hospitali ya kapenguria kaunti ya pokot magharibi, kufuatia visa vya utovu wa usalama mpakani, wanalilia serikali kufanya hima wapate haki pamoja na kuimarisha usalama katika maeneo hayo. Na Kama anavyoarifu collins shitiabayi waathiriwa hao wanaoendelea kupata nafuu wanasema wanahofia kurejea kwao.