Majeshi ya Ulinzi ya Israeli yamepanua operesheni zake za kijeshi na kusisitiza kwamba kundi la wanamgambo wa Hamas ndio lengo la operesheni yao na siyo raia wa Gaza. Wakati ripoti na picha nyingi zikiibuka kuonyesha uharibifu mkubwa katika maeneo ya raia muelekeo wa Israel na msaada unaoendelea kutolewa na Marekani unaendelea kuangaliwa kwa kina. Ungana na mwandishi wetu akikuletea msimamo wa Marekani katika suala hili. Endelea kusikiliza...
#israel #palestine #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas #hezbollah #lebanon #rais #marekani #joebiden #hotuba #taifa msimamo #ufadhili #raia #uharibifu
- - - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.