- 30,336 viewsDuration: 3:08Majibizano makali kati ya Mbunge wa Kitutu Chache Anthony Kibagendi na Waziri wa Afya Aden Duale yalishuhudiwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Afya baada ya Mbunge wa Kitutu Chache Anthony Kibagendi Kumkashifu Waziri Duale akidai anwapuuza Wanachama wa kamati hiyo. Waziri wa Afya Aden Duale naye akitoa tuhuma kwamba Kibagendi hapaswi kuwa katika Kamati hiyo akimnyoshea Kidole Kibagendi kutaka kuhangaisha Juhudi za Wizara ya afya kutekeleza Mpango wa SHA...