- 12,114 viewsDuration: 3:13Majibizano makali yameshuhudiwa kati ya waziri wa afya Aden Duale na mbunge wa Kitutu chache Anthony Kibagendi wakati wa kikao cha kamati ya afya iliyokuwa ikijadili Bima ya afya ya SHA. Mzozo huo ulinza baada ya baadhi ya wabunge kutofautiana na Waziri Duale kuhusu mapendekezo ya utendakazi wa SHA