Majimbo mengi zaidi yafanya uchaguzi wa awali siku ya Super Tuesday
Majimbo mengi zaidi yatafanya uchaguzi wa awali, Machi 5, kuliko siku yoyote nyingine katika kipindi cha uchaguzi huu. Ndio maana inaitwa Super Tuesday.
Majimbo kumi na tano na mkoa mmoja utapiga kura siku ya Super Tuesday mwaka huu. Huko Iowa, matokeo ya uchaguzi wa awali wa Wademokratiki utatangazwa.
Inahitajika wajumbe waliochukua ahadi 1,968 – asilimia 50 ya wajumbe wote – kushinda uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Demokratiki.
Inahitajika wajumbe 1,215 – asilimia 50 ya wajumbe wote – kushinda uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Republikan.
Msemo Super Tuesday haukuanza kujitokeza hadi mwaka 1976.
Bill Clinton alipata uungwaji mkono kutokana na ukakamavu wake wa kujitokeza siku ya Super Tuesday mwaka 1992 katika safari yake kuelekea White House.
#supertuesday #uchaguzimkuu #marekani #majimbo #iowa #uchaguziwaawali #voa #voaswahili
11 Aug 2025
- Special trade agreements between Kenya and the UK allow the export of both goods and labour.
11 Aug 2025
- This comes a day after the case was reported at the Capitol Hill Police Station.
11 Aug 2025
- KUPPET claims that TSC should follow in the footsteps of the National Police Service.
12 Aug 2025
- Poverty, neglect, and shifting norms are driving early sex and marriage, as Kenya grapples with a sexuality education gap.
12 Aug 2025
- The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
12 Aug 2025
- KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
12 Aug 2025
- Unbowed Lagat returns despite murder probe
12 Aug 2025
- Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
12 Aug 2025
- How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
12 Aug 2025
- Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
12 Aug 2025
- Ruto puts banks to task over constant high lending rates
12 Aug 2025
- Farmers win round one as court halts duty-free rice importation
12 Aug 2025
- Fertiliser subsidy: A double-edged sword driving firms out of business