Majina ya mitaa kisiwani Lamu hutokana na wenyeji kuenzi mila na desturi za wahindi

  • | Citizen TV
    137 views

    Kashmiri,Kandhahar,India,Bombey,Pakistan ,Hadhramoudh ni miongoni mwa majina yaliyopewa baadhi ya mitaa Kisiwani Amu kutokana na wenyeji wa Lamu kuenzi mila na desturi za wahindi ikiwemo mienendo,mapishi na pia mavazi.