Skip to main content
Skip to main content

Majumba kadhaa Nairobi yasombwa na mvua ya Jumamosi

  • | Citizen TV
    5,187 views
    Duration: 3:25
    Kwa mara nyingine sehemu nyingi za jiji la Nairobi zilijaa maji kupindukia kufuatia mvua iliyonyesha juzi jioni. Mojawapo ya maeneo yaliyoathirika zaidi ni pamoja na eneo la Grogan ambako magari zaidi yalisombwa huku majumba yakijaa.