Makaburi yahamishwa Kiambu ili kutoa fursa ya ujenzi wa barabara

  • | KBC Video
    10 views

    Jumla ya makaburi 21 yamefukuliwa na kuhamishiwa maeneo mapya ili kutoa fursa ya ujenzi wa barabara ya Mau-Mau ya umbali wa kilomita 22 katika kijiji cha Gitithia huko lari, kaunti ya Kiambu, baada ya mkandarasi husika kupata maagizo ya mahakama. Utawala wa eneo hilo ulisema kwamba shughuli hiyo itaanza kutekelezwa baada ya mahakama kuuidhinisha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News