Makachero wanasa mshukiwa mmoja wa ulaghai

  • | Citizen TV
    889 views

    Makachero wa idara ya upelelezi wa jinai jijini Nakuru wamemkamata mshukiwa mmoja anayekisiwa kutengeneza na kupakia mbegu ghushi za mahindi na kuwauzia wakulima katika kaunti za Nakuru,Kericho na Bomet