Makahama itatoa uamuzi kuhusu ombi la kuondoa mashtaka dhidi ya naibu wa rais hapo kesho

  • | Citizen TV
    1,270 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua atajua hatma yake hapo kesho. makahama itatoa uamuzi kuhusu iwapo Gachagua ataondolewa mashtaka ya ufisadi dhidi yake. Hii ni kufuatia ombi la upande wa mashtaka kuitaka mahakama kutupilia mbali kesi hiyo ikisema kuwa idara ya upelelezi ilidinda kushirikiana nao na hivyo hawana budi kuondoa kesi kwasababu hakuna ushahidi wa kutosha.