Makaktari wapinga pendekezo la ubinafsishaji wa sekta ya afya

  • | KBC Video
    23 views

    Madaktari wametoa wito kwa mataifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki kusitisha ubinafsishaji wa sekta ya afya. Chini ya vuguvugu la muungano wa sekta ya afya kanda ya mashariki na kati, madaktari hao walisema upanuzi uliojikita katika kutafuta faida unabidhaifisha utoaji huduma za afya ambazo zinapaswa kuwa haki ya kimsingi. Madaktari hao pia wanataka nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki kutenga takriban asilimia 15 ya mapato ya serikali kufadhili sekta ya afya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #healthcare #darubini