Makala | Ufugaji Nyuki

  • | KBC Video
    13 views

    Katika ulimwengu wa sasa, wengi wanatumia ubunifu kujipatia riziki ili kukidhi mahitaji yao ndiposa Kyalo Mutua amejitosa katika biashara ya ufugaji nyuki. Kyalo anaamini kuwa mgagaa na upwa hali wali mkavu na anawashauri wale wanaotaka kufuga nyuki kwamba hawahitaji mtaji mkubwa kuanzisha shughuli hiyo. Fredrick Muoki anamwangazia Kyalo kwenye makala yafuatayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive