Makala ya mwaka huu ya mbio za Standard Chartered yazinduliwa rasmi

  • | Citizen TV
    Mshindi wa nishani ya shaba katika mbio za mita elfu 10 atashiriki mashindano ya mwaka huu ya mbio za marathon za Standard Chartered mjini Nairobi.