Makala ya sita ya tuzo za KUZA yazinduliwa

  • | KBC Video
    2 views

    Halmshauri ya mawasiliano nchini inaratibu mfumo wa kuanzisha utangazaji wa sauti wa dijitali humu nchini ili kuhakikisha utumiaji bora wa masafa nadra ya utangzaji nchini. Akiongea wakati wa uzinduzi wa makala ya sita ya tuzo za KUZA mkurugenzi mkuu wa halmashauri hiyo Ezra Chiloba aliwahimiza wadau wachangie katika uratibu wa rasimu ya maswala muhimu ya kiufundi kwa masafa ya utangazaji wa redio ya dijitali ambayo yatatumiwa kuwasilisha huduma za dijitali za utangazaji wa redio itakayotekelezwa katika muda wa miaka mitatu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #KUZAAwards