Makali Ya Mvua: Wakazi Baringo Kaskazini wahitaji msaada wa dharura

  • | KBC Video
    13 views

    Wakimbizi wa ndani kwa ndani ambao waliondoka nyumbani kwao katika wadi ya Saimo Soi, eneo bunge la Baringo Kazkazini kutokana na ukosefu wa usalama sasa wametoa wito wa kupewa misaada ya kibinadamu ili waweze kukabiliana na kusambaa kwa maradhi kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini. Masaibu yao yalitokana na mashambulizi ya majangili katika maeneo mbalimbali katika kaunti ya Baringo ambayo kufikia sasa yamesababisha vifo vya watu 17.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive