Makali ya ukame Marasabit

  • | KBC Video
    60 views

    Hali ya ukame inayoshuhudiwa humu nchini imesababisha hasara kubwa katika baadhi ya sehemu humu nchini. Katika kaunti ya Marsabit, baadhi ya wakazi wamelazimika kuwaacha mifugo wao nyumbani kwa kuwa wengine wao ni wadhaifu mno,kiasi kwamba hawawezi kutafuta lishe. Kwenye sehemu ya pili ya janga la ukame, Mwanahabari wetu Edward Kabasa anaangazia masaibu ya wakazi wa maeneo ya Ambalo na Adhadhi ambao wameshindwa kujikimu kutokana ukame wa muda mrefu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ukame #News #marsabit