Makamanda wa jeshi la Ethiopia na waasi wa tplf wamekutaka

  • | Citizen TV
    672 views

    Makamanda wa jeshi la Ethiopia na waasi wa TPLF wamekutaka jijini Nairobi kuweka mikakati ya utekelezaji wa mkataba wa amani Tigray nchini Ethiopia. mkutano huo ulioongozwa na marais wastaafu Olusegun Obasanjo wa Nigeria na Uhuru Kenyatta wa Kenya pia umeafikia mikakati ya kuwezesha usafirishaji wa chakula na madawa kwa waathiriwa wa Tigray.