Makamishna wawili wa tume IEBC wasusia vikao vya tume ya haki na sheria

  • | Citizen TV
    1,569 views

    Makamishna wawili wa tume ya uchaguzi nchini IEBC wanaotakiwa kubanduliwa wamesusia vikao vya kamati ya bunge kuhusu haki, na badala yake kuamua kutuma mawakili wao. Haya yakijiri huku Rais William Ruto akikosoa upinzani chini ya uongozi wa Raila Odinga kuhusu nia yake ya kuendesha maandamano ya kupinga kuwaondoa makamishna hao ofisini.