- 64 viewsMakampuni ya Kenya, yanayokabiliwa na changamoto, yanageukia akili mnemba yaani artificial intelligence AI ili kupunguza gharama za uzalishaji na matangazo. Ambazo zinasababisha wasi wasi miongoni mwa wasanii na mashirika ya matangazo, ambayo yanakhofia kupungua kwa mapato na hasara ya ajira kama AI inaweza kuchukua kazi ambazo wamekuwa waikizifanya siku zote. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Makampuni kenya yatumia Akili Mnemba kuzalisha matangazo
- 12 Aug 2025 - The Kenya National Highways Authority (KeNHA) has revoked a Privately Initiated Proposal (PIP) to construct the Nairobi-Mombasa (Usahihi) expressway.
- 12 Aug 2025 - The agreement was reached during the 7th Session of the Kenya–Iran Joint Commission for Cooperation (JCC) held in Nairobi, co-chaired by Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi and Iran’s Minister of Agricultural Jihad, Dr. Gholamreza Nouri Ghezalcheh.
- 12 Aug 2025 - The Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) has recovered public land in Kakamega valued at Ksh.20 million belonging to the Ministry of Housing.
- 12 Aug 2025 - Senior Principal Magistrate Dolphina Alego dismissed the request, ruling that Khatwani had failed to present sufficient justification for the release of his travel document, which is currently held in court as part of his bail conditions in a Sh356…
- 12 Aug 2025 - Gachagua had recently criticised leaders using choppers to tour the country.
- 12 Aug 2025 - Dagoretti North MP Beatrice Elachi has called for more stringent and unpredictable checks on public servants’ wealth declarations, saying the current system is easily circumvented and ineffective in fighting corruption.
- 12 Aug 2025 - Several people are said to have been injured in the accident.
- 12 Aug 2025 - He termed it as “pipeline projects” that must be delivered before the end of the Ruto’s two terms
- 12 Aug 2025 - The Kenyan is expected in Nairobi on Sunday.
- 12 Aug 2025 - When family planning fails: Bungoma woman's IUD pregnancy sparks call for awareness