20 Mar 2026 1:08 pm | Citizen TV 4,264 views Duration: 1:39 Muungano wa viongozi wa kidini wa makanisa ya Pentekoste nchini umewapiga marufuku viongozi wa kisiasa kuhutubia ndani ya makanisa, ukidai matamshi ya baadhi yao, yanachochea mgawanyiko badala ya kuunganisha wakenya.