Makanisa yaliyopigwa marufuku yaendesha ibada ya Jumapili leo

  • | Citizen TV
    8,179 views

    Siku mbili baada ya serikali kutangaza kubatilisha leseni zilizotolewa kwa makanisa matano na muungano mmoja wa wakazi wa mtaa wa Royal Park, Langata, Ibada iliendelea kama kawaida. Wahubiri na hata waumini wa makanisa haya wakikasihifu hatua hiyo wakisema serikali inapaswa kuwahusisha kabla ya uamuzi kama huo kufanywa.