Makao ya watoto yafungwa kisii

  • | Citizen TV
    481 views

    Takriban vituo 12 vya watoto yatima vimefungwa kule Kisii kufuatia operesheni maalum inayoendelea kwa sasa ikiongozwa na idara ya watoto kwa ushirikiano na vitengo mbalimbali vya usalama. Katika eneo la Nyosia eneo bunge la Nyaribari Chache, kizaaZAa kilizuka baada ya mmiliki mmoja kufungia zaidi ya watoto wanane chini ya kitanda kwa nia ya kukwepa mkono wa sheria