22 Apr 2026 7:46 pm | BBC Swahili 3,923 views Duration: 0s Makubaliano ya Kusitisha vita vya Marekani na Iran yarefushwa huku meli kadhaa zikishambuliwa katika Mlango Bahari wa Hormuz katika Matangazo ya redio ya dira ya dunia leo tarehe 22/4/2026.