Makumbusho ya Jaramogi Oginga Odinga

  • | K24 Video
    117 views

    Leo ikiwa ni makumbusho ya miaka thelathini tangu Jaramogi Oginga Odinga alipoaga dunia, viongozi mbali mbali wamemmiminia sifa si haba katika ukumbi wa ofafa memorial jijini kisumu. Wengi wamemtaja kama mwanasiasa wa kupigiwa mfano, aliyechukia ukabila na kuongoza siasa za sera, akiweka taifa mbele badala ya maslahi yak