Makumbusho ya kidijitali ya Dr. Salim Ahmed Salim kuzinguliwa Dar es Salaam

  • | VOA Swahili
    446 views
    - - - - - Huko Tanzania, Makumbusho ya Kidijitali ya aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi huru Barani Afrika OAU na Waziri Mkuu wa Tanzania Dr Salim Ahmed Salim inatarajiwa kuzinduliwa Jijini Dar es salaam huku wito wa kutaka kuwapo na utataribu wa kuwa na makumbusho za viongozi wa kitaifa ukitolewa ili kutunza kumbukumbu kwa manufaa ya vizazi vinavyokuja.