Makundi mawili ya kanisa yazozana kuhusu uamuzi wa kubadilisha dayosisi Nyeri

  • | K24 Video
    26 views

    Ibada ya Jumapili katika kanisa la karundas AIPCA huko Nyeri iligeuka kuwa uwanja wa mangumi na mateke baada ya wafuasi wa kanisa hilo kutofautiana vikali kuhusu mustakabali wa kanisa. Makundi mawili yanazozana kuhusu uamuzi wa kubadilisha dayosisi ya kanisa hilo.