Makundi mawili yajibizana kuhusu bajeti ya kaunti

  • | Citizen TV
    208 views

    Waziri wa Fedha katika serikali ya kaunti ya Tharaka nithi, Lawrence Rweria, amewasilisha bajeti ya mwaka wa kifedha 2025/2026 mbele ya Bunge la Kaunti, bajeti inayokadiriwa kugharimu shilingi bilioni 6.8