9 Oct 2025 1:37 pm | Citizen TV 14,393 views Duration: 2:01 Hali ya taharuki imetanda kutwa nzima katika mji wa isinya kaunti ya Kajiado baada ya jamii zinazoishi mji huo kuanza kupigana tangu jana usiku.