Makundi ya kijamii yanayohusika na vita dhidi ya dhuluma yapata ufadhili Kisii

  • | Citizen TV
    219 views

    Muungano wa mataifa ya bara Ulaya umepiga jeki zaidi ya vikundi kumi vya kijamii kutoka kaunti za Kisii na Nyamira kwa lengo la kuimarisha vita dhidi ya dhulma za kijinsia na ukeketaji wa watoto wasichana