Makundi ya kina mama, vijana na walemavu yahusishwa kwenye bajeti ya kaunti ya Kwale

  • | Citizen TV
    144 views

    Makundi ya akina mama, vijana na watu wanaoishi na ulemavu kutoka wodi za Ramisi na Kinondo wamehamasishwa kuhusu uwasilishaji wa mapendekezo ya miradi ya maendeleo kwenye vikao vya umma vya bajeti ya kaunti ya Kwale ya 2025-26.