Makundi ya wanawake Nairobi yapokea ufadhili

  • | KBC Video
    11 views

    Zaidi ya vikundi 200 vya wanawake jijini Nairobi vinatazamiwa kugawana shilingi milioni 39 kupitia ufadhili wa Hazina ya Kitaifa ya usawazishaji (NGAAF), chini ya mpango wa Wezesha Mama Inua Jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News